HABARI

HIMIZO LATOLEWA KWA WAZAZI KAUNTI YA KWALE KUWARUHUSU WATOTO WAO WA KIKE KUCHANJWA CHANJO YA HPV

Wenyeji wa kaunti ya Kwale wameshinikizwa kuwaruhusu watoto wao wa kike walio kati ya umri wa miaka 10 hadi 14 wanapata chanjo ya kuzuia saratani ya kizazi ya HPV. Kulingana na waziri wa afya kaunti hiyo ya Kwale, Francis Gwama saratani imeathiri zaidi ya asilimia 40 ya wanawake hivyo kuna haja ya wakaazi wa kaunti […]

HIMIZO LATOLEWA KWA WAZAZI KAUNTI YA KWALE KUWARUHUSU WATOTO WAO WA KIKE KUCHANJWA CHANJO YA HPV Read More »

IDADI YA WANAFUNZI WANAOJIUNGA NA JSS KAUNTI YA MOMBASA YAFIKIA ASILIMIA 70

Mkurugenzi wa elimu kaunti ya Mombasa Peter Magiri amesema idadi ya wanafunzi ambao wanajiunga na masomo ya Sekondari Msingi katika kaunti hiyo imefikia asilimia 70. Akizungumza baada ya kufanya ziara ya kielimu kwenye shule ya upili ya wasichana ya Mbaraki katika kaunti ya Mombasa, Magiri amesema masomo ya wanafunzi hao yanaendelea vyema japo kuna msongamano

IDADI YA WANAFUNZI WANAOJIUNGA NA JSS KAUNTI YA MOMBASA YAFIKIA ASILIMIA 70 Read More »

WANAWAKE MJINI MALINDI WAHIMIZWA KUFIKA KWENYE VITUO VYA AFYA KUJIFUNGUA

Wanawake eneo bunge la Malindi na kaunti ya Kilifi kwa jumla, wametakiwa kuhakikisha wanajifungua katika vituo vya afya, kama njia mojawapo ya kujilinda dhidi ya athari ambazo huenda zikawakumba wakati wanapojifungua majumbani. Haya ni kwa mujibu wa afisa wa afya ya umma katika eneo la Malindi kaunti ya Kilifi, Thomas Kiboni ambaye amesema idadi kubwa

WANAWAKE MJINI MALINDI WAHIMIZWA KUFIKA KWENYE VITUO VYA AFYA KUJIFUNGUA Read More »