HABARI

MANCHESTER UNITED KUUZA WACHEZAJI WATATU NA KUMNUNUA HARRY KANE

Klabu ya Manchester United inalenga kuwauza wachezaji watatu katika dirisha la uhamisho lijalo ili kuangalia uwezekano wa kumnunua Harry Kane mchezaji wa Totenham Hotspurs. Baadhi ya wachezaji ambao huenda wakauzwa klabuni hapo ni pamoja na beki Harry Maguire, Alex Telles lakini pia fowadi wa timu ya taifa ya Ufaransa Antony Martial mwenye umri wa miaka […]

MANCHESTER UNITED KUUZA WACHEZAJI WATATU NA KUMNUNUA HARRY KANE Read More »

FLAMENGO YAKOSA FAINALI, REAL MADRID IKITARAJIA KUJUA HATMA YAO LEO

Klabu kutoka Brazil  Flamengo usiku wa kuamkia leo imeshishiwa kichapo cha mabao 3-2 dhidi ya Al Hilal ya Misri katika mechi ya semi fainali ya mashindano ya Fifa Club World mashindano yanayoendelea nchini Morocco. Vijana wa mkufunzi Carlo Anceloti waite Real Madrid watakuwa wanashuka dimbani usiku wa leo dhidi ya Al Ahly ya Misri katika

FLAMENGO YAKOSA FAINALI, REAL MADRID IKITARAJIA KUJUA HATMA YAO LEO Read More »

ABBAS KUNYO ASEMA HAZINA YA KARO YA WADI YA SHILINGI MILIONI 150 HAITAFUTILIWA MBALI KAUNTI YA TANA RIVER

Waziri wa elimu, Jinsia na Michezo kaunti ya Tana River Abbas Kunyo amesema hazina ya karo ya wadi ya shilingi milioni 150 kwa mwaka haitafutiliwa mbali licha ya kuwepo kwa mchakato wa kuanzisha hazina nyingine ya GOVERNORS SCHOLARSHIP. Kunyo amesema lengo la hazina ya Gavana inapania kupiga jeki utoaji wa karo kwa wanafunzi ambao wanafanya

ABBAS KUNYO ASEMA HAZINA YA KARO YA WADI YA SHILINGI MILIONI 150 HAITAFUTILIWA MBALI KAUNTI YA TANA RIVER Read More »