JOAO CANCELO ATOA SABABU YA KUONDOKA ETIHAD
Beki wa ureno mwite Joao Cancelo amesema alishindwa kukataa ofa ya mkopo kuondoka Etihad na kujiunga na Bayern Munich kwa kile anachotaja kwamba mkufunzi wake Pep Guardiola wa Manchester City alimnyima muda zaidi wa kucheza klabuni hapo jambo ambalo lilikuwa linahatarisha kushuka kiwango chake. kwa sasa mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 28 anachezea Baeyrn […]
JOAO CANCELO ATOA SABABU YA KUONDOKA ETIHAD Read More »



