HABARI

KESI 67 ZA MAAFISA WA POLISI KUWADHULUMU WAKENYA ZIMENAKILIWA KANDA YA PWANI

Mkurugenzi wa mamlaka ya kutathmini utendakazi wa polisi nchini IPOA kabda ya pwani Hussein Aden amethibitisha kupokea jumla ya kesi 467 kote nchini za malalamishi kutoka kwa wakenya yanayohusiana na maafisa wa polisi tangu mwanzoni mwa mwaka huu wa 2023. Kulingana na Hussein kati ya kesi hizo, kesi 67 zimenakiliwa kanda ya pwani na kuwataka […]

KESI 67 ZA MAAFISA WA POLISI KUWADHULUMU WAKENYA ZIMENAKILIWA KANDA YA PWANI Read More »

MAGAVANA WA PWANI KUWASILISHA MATAKWA YAO KWA RAIS WILLIAM SAMOEI RUTO

Gavana wa kaunti ya Kilifi Gedion Maitha Mung’aro amesema magavana wote wa kaunti za pwani wataungana na kisha kuwasilisha matakwa yao kwa rais William Samoei Ruto. Akizungumza kwenye kaunti ya Mombasa katika kongamano la Muungano wa Jumuiya ya kaunti za pwani na mawaziri wa fedha kutoka ukanda wa pwani, Mung’aro ambaye pia ni mwenyekiti wa

MAGAVANA WA PWANI KUWASILISHA MATAKWA YAO KWA RAIS WILLIAM SAMOEI RUTO Read More »

WITO WA KUIMARISHA MICHEZO WATOLEWA NA VIONGOZI

Wito umetolewa kwa viongozi mbalimbali wa pwani kutoa ufadhili wa michezo katika vilabu vingi vya mashinani ambavyo vinapitia kipindi kigumu kifedha kwa sasa. Mwenye kiti wa shirikisho la soka katika kaunti ya Kilifi Dickson ANgore anasema kwamba ipo haja ya michezo kupewa kipaumbele ili kusaidia wachezaji wengi kuepuka matumizi ya mihadarati pamoja na kujihusisha na

WITO WA KUIMARISHA MICHEZO WATOLEWA NA VIONGOZI Read More »