HABARI

WAZIRI WA USALAMA NCHINI KITHURE KINDIKI AZURU KAUNTI YA KILIFI

Waziri wa usalama wa ndani Kithure Kindiki amesema idadi kubwa ya wanafunzi kanda ya pwani ambao wanapaswa kujiunga na kidato cha kwanza wangali nyumbani. Akizungumza akiwa Gotani eneo bunge la Kaloleni kaunti ya Kilifi, Kithure amesema wanafunzi hao wanapaswa kujiunga na shule za upili ili kuendeleza masomo yao. Kufuatia hilo sasa amewaagiza Manaibu wa Makamishna […]

WAZIRI WA USALAMA NCHINI KITHURE KINDIKI AZURU KAUNTI YA KILIFI Read More »

WANAWAKE KAUNTI YA TAITA TAVETA WAHIMIZWA KUWANIA NAFASI ZA MBALIMBALI ZA UONGOZI

Naibu kamishna wa kaunti ya Taita Taveta Christine Kilalo amewahimiza wanawake katika kaunti hiyo kuwania nafasi mbalimbali za uongozi baada ya kubainika ni asilimia 5 pekee ya wanawake ambao walichaguliwa kwenye kipute cha uchaguzi mkuu wa Agosti 9 mwaka jana wa 2022. Kilalo amesema kutokana na hilo sasa wameanzisha harakati za kuwahimiza wanawake wengi kujitokeza

WANAWAKE KAUNTI YA TAITA TAVETA WAHIMIZWA KUWANIA NAFASI ZA MBALIMBALI ZA UONGOZI Read More »

WIZARA YA AFYA KAUNTI YA KILIFI KUTENGA SHILINGI MILIONI TANO

Idara ya afya kaunti ya Kilifi imetenga kima cha shilingi milioni tano katika bajeti ya mwaka 2022/2023, ili kutekeleza ujenzi wa kitengo cha wagonjwa kufanyiwa vipimo vya X-ray, katika hospitali ya Bamba eneo bunge la Ganze kaunti ya Kilifi. Kwa mujibu wa mwenyekiti wa kamati ya afya katika bunge la kaunti ya Kilifi Edward Kazungu,

WIZARA YA AFYA KAUNTI YA KILIFI KUTENGA SHILINGI MILIONI TANO Read More »