GAVANA WA KAUNTI YA KILIFI GEDION MUNG’ARO ASEMA WANAPANIA KUONGEZA MGAO WA FEDHA ZA BASARI
Gavana wa kaunti ya Kilifi Gedion Maitha Mung’aro amesema wanapania kuongeza mgao wa fedha za basari kwa wanafunzi ili kuwawezesha wale ambao walipata alama za juu wanajiunga na shule za upili kwa wakati ufaao. Amesema serikali ya kaunti ya Kilifi inapania kutenga kima cha shilingi bilioni moja ili kufanikisha hilo. Awali serikali ya kaunti ya […]



