HABARI

WADAU WA SOKA LA MALINDI WALALAMA MAREFA HAWASHIRIKISHWI

Wadau wa soka la kaunti ya Kilifi wanalalama kuhusu kutohusishwa kwa marefa wa kaunti hii katika mechi za daraja la pili kitaifa kwenye mechi zinazochezwa katika kaunti ya Kilifi tofauti na zile zinazochezwa katika kaunti nyingine. Akizungumza na tama la spoti jioni ya leo mkufunzi Nero Chishenga anasema kwamba uongozi wa soka la daraja la […]

WADAU WA SOKA LA MALINDI WALALAMA MAREFA HAWASHIRIKISHWI Read More »

IDADI KUBWA YA WASICHANA WALIOFANYA MTIHANI WA KCPE KATIKA SHULE YA MSINGI YA BOFU WAKOSA KUJIUNGA NA SHULE ZA UPILI

Idadi kubwa ya wasichana waliofanya vyema katika mtihani wa KCPE kwenye shule ya msingi ya Bofu eneo bunge la Kilifi Kaskazini kaunti ya Kilifi, wamekosa kujiunga na shule za upili kutokana na kile ambacho kinadaiwa kuchangiwa na ukosefu wa karo. Haya ni kwa mujibu wa katibu mkuu wa vuguvugu la vijana la KILIFI YOUTH ON

IDADI KUBWA YA WASICHANA WALIOFANYA MTIHANI WA KCPE KATIKA SHULE YA MSINGI YA BOFU WAKOSA KUJIUNGA NA SHULE ZA UPILI Read More »

SPIKA WA BUNGE LA KAUNTI YA LAMU APINGA MADAI AMBAYO YAMEKUWA YAKIIBULIWA DHIDI YAKE

Sipika wa bunge la kaunti ya Lamu Azhar Ali Mbarak amepuzilia mbali madai ambayo yamekuwa yakiibuliwa dhidi yake kuwa aliwania wadhifa huo wa Uspika ili kuhujumu harakazi za uongozi wa kaunti hiyo katika kufanikisha maendeleo kwa wenyeji. Akipinga madai hayo amesema lengo lake kuu la kuwania wadhifa huo ni kuhakikisha wenyeji wa kaunti ya Lamu

SPIKA WA BUNGE LA KAUNTI YA LAMU APINGA MADAI AMBAYO YAMEKUWA YAKIIBULIWA DHIDI YAKE Read More »