HABARI

WITO UMETOLEWA KWA HAKI NA USAWA KUTEKELEZWA KATIKA ZOEZI LA KUWAFIDIA WAVUVI KAUNTI YA LAMU.

Gavana wa kaunti ya Lamu Abdalah Issa Timamy, amesema kuwa sharti shughuli za kuwalipa fidia wavuvi katika kaunti ya Lamu litekelezwe kwa haki na uwazi. Gavana huyo amesema wanafahamu kuwa wapo baadhi ya watu ambao sio wavuvi na tayari wameorodheshwa kupokea fedha hizo kutoka kwa serikali jambo ambalo amesema sio sahihi. Akizungumza na wakaazi wa […]

WITO UMETOLEWA KWA HAKI NA USAWA KUTEKELEZWA KATIKA ZOEZI LA KUWAFIDIA WAVUVI KAUNTI YA LAMU. Read More »

WAVUVI WATARAJIWA KUNUFAIKA NA VIFAA VYA KUTEKELEZA UVUVI KUPITIA VYAMA VYA USHIRIKA.

Gavana wa kaunti ya Mombasa Abdulswamaad Shariff Nassir amesema kuwa serikali ya kaunti hiyo, imeanza mikakati ya kuwakabili matapeli wanaoendeleza unyakuzi wa ardhi za umma kaunti hiyo. Kwa mujibu wa gavana huyo ni kuwa wameanza harakati za kutafuta hatimiliki halali za ardhi hizo, ili kutekeleza miradi mbali mbali ikiwemo ujenzi wa soko ambalo, huenda likawasaidia

WAVUVI WATARAJIWA KUNUFAIKA NA VIFAA VYA KUTEKELEZA UVUVI KUPITIA VYAMA VYA USHIRIKA. Read More »

VIONGOZI WA MICHEZO MASHINANI WALALAMA TAARIFA HAZIWAFIKII

Wito umetolewa kwa viongozi wa michezo nchini kuingia mashinani kutazama na kutambua talanta za wachezaji kama njia moja ya kutimiza lengo kuu la ugatuzi kwa kuangazia wachezaji walio mashinani zaidi. Jambo hilo litasaidia kutoa hamasa zaidi kuhusu mradi wa serikali wa talanta hela pamoja ambapo vijana wengi wenye vipaji watatambulika. Akizungumza na Tama La Spoti

VIONGOZI WA MICHEZO MASHINANI WALALAMA TAARIFA HAZIWAFIKII Read More »