ROSTAM AZIZI ATOA WITO KWA SERIKALI ZA AFRIKA MASHARIKI KUIMARISHA UWIANO
Mwekezaji na pia mmiliki wa Gesi kutoka taifa la Tanzania Rostam Aziz ametoa wito kwa serikali za kanda ya Afrika Mashariki kuimarisha uwiano miongoni mwa raia wake ili kuboresha masuala ya biashara. Kwa mujibu wa Aziz, serikali za mataifa yaliyowanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki zimefeli katika kuboresha mazingira bora ya kibiashara licha ya kuwa […]
ROSTAM AZIZI ATOA WITO KWA SERIKALI ZA AFRIKA MASHARIKI KUIMARISHA UWIANO Read More »



