HABARI

MOHAMED ALI ASEMA WATAENDELEZA MIKAKATI YA KUHARAMISHA SUALA LA MAPENZI YA JINSIA MOJA BUNGENI

Mbunge wa Nyali kaunti ya Mombasa Mohamed Ali amesema wataendeleza harakati za kuharamisha suala la mapenzi ya jinsia moja bungeni. Amesema tabia hizo zinakiuka maadili ya kidini pamoja na mila za kiafrika ambazo zinasukumwa na mataifa ya kigeni ili kuendelezwa nchini Kenya. Ali ambaye alikuwa akiwahutubia wenyeji wa eneo bunge lake la Nyali amesema ni […]

MOHAMED ALI ASEMA WATAENDELEZA MIKAKATI YA KUHARAMISHA SUALA LA MAPENZI YA JINSIA MOJA BUNGENI Read More »

FAZA YOUTH ACTION GROUP YAITAKA SERIKALI YA KAUNTI YA LAMU KUZIFUFUA NA KUZIIMARISHA ZAHANATI

Shirika la kijamii la Faza Youth Action Group kaunti ya Lamu limeitaka serikali ya kaunti hiyo kuharakisha mchakato wa kuzifufua na kuziimarisha zahanati ambazo ziko katika wadi ya Basuba eneo la Boni ili kuwanufaisha wenyeji wa maeneo hayo. Kulingana na shirika hilo, wadi ya Basuba iko na zahanati moja pekee eneo la Kiangwe na haina

FAZA YOUTH ACTION GROUP YAITAKA SERIKALI YA KAUNTI YA LAMU KUZIFUFUA NA KUZIIMARISHA ZAHANATI Read More »

RUTO AMEAHIDI MIZOZO YA ARDHI KUTATULIWA KAUNTI YA LAMU

Rais William Samoei Ruto ameahidi kulishughulikia suala tata la ardhi katika kaunti ya Lamu ili kudhibiti mizozo inayotokana na umiliki ardhi kwenye kaunti ya Lamu. Akizungumza jana katika uwanja wa muungano eneo la Mpeketoni kaunti ya Lamu Rais Ruto amesema atafanikisha ahadi ambazo alitoa wakati wa kampeni za uchaguzi kuhusu suala tata la ardhi kwenye

RUTO AMEAHIDI MIZOZO YA ARDHI KUTATULIWA KAUNTI YA LAMU Read More »