UHABA WA UDHAMINI WAFUNGIA VILABU VYA MASHINANI NJE
Uhaba wa ufadhili kwa vilabu vya soka vya mashinani unasalia kuwa saratani hali ambayo imepelekea kupungua kwa washiriki wa ligi ya eneo bunge la malindi kaunti ya Kilifi. Kulingana na mkufunzi wa kathama fc Kalume Kahindi ni kwamba shirikisho la soka la fkf kwenye msimu mpya utakaoanza rasmi wikendi ijayo kumesajiliwa vilabu 18 pekee na […]
UHABA WA UDHAMINI WAFUNGIA VILABU VYA MASHINANI NJE Read More »



