TOTTENHAM HOTSPURS YAPATA MKUFUNZI MPYA
Klabu ya Tottenham Hotspurs sasa ni rasmi imempa kazi ya ukocha mkufunzi Ange Postecoglou kwa kumpa mkataba wa miaka minne kuiongoza klabu hiyo ya London. Postecoglou mwenye umri wa miaka 57 anachukua mikoba ya Spurs baada ya kuwa na kiwango bora na Celtic ambako ameshinda mataji matatu ya ndani ya ligi kuu ya Scotland msimu […]
TOTTENHAM HOTSPURS YAPATA MKUFUNZI MPYA Read More »



