HABARI

MAANDALIZI YA MASHINDANO YA KUMTANGAZA YESU KRISTO YANOGA MALINDI

Waandalizi wa mashindano ya soka ya  Mbuzi  Football Tournament (U-Turn na Life Church International Malindi) yanayolengwa kufanyika wiki ijayo katika shule ya msingi ya Central mjini Malindi kaunti ya kilifi wanasema kwamba mashindano hayo yanazidi kuvutia vilabu vingi mashinani. Mashindano hayo yanayolenga kueneza injili ya Yesu Kristo kwa vijana wa eneo la Malindi yalifaa kuhusisha […]

MAANDALIZI YA MASHINDANO YA KUMTANGAZA YESU KRISTO YANOGA MALINDI Read More »

KUFIKA FAINALI NI TUKIO KUBWA MAISHANI MWANGU, TUTAMALIZA UKAME WA MAKOMBE – DAVID MOYES

Mkufunzi wa klabu ya Westham United David Moyes anasema kufika fainali ya Europa Conference league ni tukio kubwa kutokea katika kazi yake ya ukufunzi. Ameyasema hayo kipindi ambacho Westham usiku wa leo watakuwa wanashuka dimbani dhidi ya Fiorentina katika fainali ya Europa Conference league. Amesema Westham United usiku wa leo wanalenga kushinda ubingwa wao wa

KUFIKA FAINALI NI TUKIO KUBWA MAISHANI MWANGU, TUTAMALIZA UKAME WA MAKOMBE – DAVID MOYES Read More »