HABARI

MATAYARISHO YA MASHINDANO YA BODABODA YANANOGA MALINDI

Muungano wa bodaboda mjini Malindi kaunti ya Kilifi unazidi unazidisha maandalizi ya mashindano ya soka yatakayofanyika siku ya jumamosi katika uwanja wa Alaskan. Ni mashindano ambayo yanalenga kuhamasisha wafanya biashara ya bodaboda kuhusu sheria za barabarani, usalama wao pamoja na kuwahamasisha kuhusu bishara hiyo ambayo imeajiri vijana wengi hapa nchini. Akizungumza na Tama la Spoti […]

MATAYARISHO YA MASHINDANO YA BODABODA YANANOGA MALINDI Read More »

VUNJA REKODI TUKUPE MILIONI TANO – RUTO

Waziri wa michezo Ababu Namwamba ameeleza kufurahishwa kwake na jinsi serikali ya William Ruto inavyotuza wanamichezo wa Kenya baada ya kufanya vyema katika michezo ya kimataifa wakiwakilisha taifa hili. Ameyasema hayo baada ya rais William Ruto kuja na mpango uliomfanya Faith Kipyegon kutunukiwa nyumba ya milioni sita pamoja na kitita cha milioni pesa taslimu za

VUNJA REKODI TUKUPE MILIONI TANO – RUTO Read More »