HABARI

YOUNG BULLS BADO ‘HAIRIDHISHI’ VIWANJANI

Klabu ya Young Bulls inayoongozwa na mkufunzi Ali Said Gaucho inazidi kuandikisha matokeo yasioridhisha hasa katika mechi za ugenini kulingana na mashabiki wao. Jana ilipiga sare ya bao 1-1 dhidi ya Zetech Titans katika uwanja wa Gems Cambrige jijini Nairobi. Kukosekana kwa matokeo mazuri katika klabu hiyo kunadhidirika hasa baada ya mshambuliaji wao matata Alex

YOUNG BULLS BADO ‘HAIRIDHISHI’ VIWANJANI Read More »