HABARI

FAITH KIPYEGON APATA NYUMBA BAADA YA KUVUNJA REKODI

Rais wa Kenya William Samoei Ruto amempongeza mwanariadha Faith Kipyegon kwa kuandikisha rekodi ya kimataifa katika mbio za mita 1500 katika mashindano ya Florence Diamond League na baadaye kuvunga rekodi nyingine ya 5000 katika mashindano ya Paris Diamond League. ”Faith ni mkenya mwenye imani sana. Imani yake ilimfanya kushinda na kuandikisha rekodi za dunia. Nampongeza

FAITH KIPYEGON APATA NYUMBA BAADA YA KUVUNJA REKODI Read More »

MASHINDANO YA BODABODA KUFANYIKA MALINDI

Muungano wa wanabiashara wa bodaboda mjini Malindi kaunti ya Kilifi wanalenga kuandaa mashindano ya soka ya siku moja katika uwanja wa Alaskan mjini Malindi wikendi ijayo. Mashindano hayo ya siku moja yatakayofanyika siku ya Jumamosi yanalenga kuhamasisha wanaboda boda kuhusiana sheria za barabarani, usalama wao pamoja na kutoa hamasa kuhusu biashara hiyo. Akizungumza na Tama

MASHINDANO YA BODABODA KUFANYIKA MALINDI Read More »