HABARI

CONGESTINA YUKO SAWA, ZARIKA AKIJIANDAA KWA MASHINDANO MWEZI JULAI

Gavana wa zamani wa kaunti ya Nairobi ambaye amekuwa mdhamini wa matibabu ya bondia mkongwe Conjestina Achieng amethibitisha kwamba bondia huyo amerejea hali yake ya sawa baada ya kipindi kirefu cha masaibu ya kiafya alipokuwa katika kaunti ya Siaya. Baada ya pigano la kirafiki dhidi ya bondia wenza Fatuma Zarika wikendi ilopita katika kaunti ya […]

CONGESTINA YUKO SAWA, ZARIKA AKIJIANDAA KWA MASHINDANO MWEZI JULAI Read More »

HATA YOUNG BULLS WAKIPANDA TUTAJIVUNIA, NI TIMU YA MALINDI PIA – BILL MWANGEMI

Mkufunzi wa klabu ya Malindi Progressive Bill Mwangemi anasema kwamba ako na matumaini makubwa kuwa klabu yake bado iko na nafasi ya kufuzu kupanda daraja na kushiriki katika ligi ya National Super League msimu ujao. Kulingana na mwangemi ni kwamba licha ya changamoto ya kukosa muendelezo wa matokeo bora msimu huu hasa baada ya wachezaji

HATA YOUNG BULLS WAKIPANDA TUTAJIVUNIA, NI TIMU YA MALINDI PIA – BILL MWANGEMI Read More »