LAMU YAPIPANGA KWA TALANTA HELA
Mashindano ya Talanta Hela yatakayo dhaminiwa na Rais William Samoei Ruto yanayohusisha wachezaji wa soka wasiozidi umri wa miaka 19 kutoka kaunti zote 47 yanazidi kuvutia vilabu vingi mashinani. Kaunti ya Lamu wikendi hii iliandaa mashindano ya kutafuta wachezaji kutoka wadi zote za kaunti hiyo watakao shiriki katika mashindano hayo ya mwezi disemba tarehe 12 […]
LAMU YAPIPANGA KWA TALANTA HELA Read More »



