ABABU ABATILISHA UTEUZI WA KAMATI YA TALANTA HELA
Waziri wa michezo Ababu Namwamba hii leo amebatilisha uteuzi wa kamati ya talanta hela aliyoichagua mwezi February kusaidia masuala ya michezo pamoja na talanta hapa nchini Kenya. Awali kamati hiyo iliyofaa kuhudumu kwa miezi mitatu katika kusaidia makuzi ya talanta pamoja na kuweka mazingira mazuri ya kuhakikisha kwamba wachezaji wa Kenya hawapitii changamoto zaidi hasa […]
ABABU ABATILISHA UTEUZI WA KAMATI YA TALANTA HELA Read More »



