HABARI

ESSIE AKIDA KUANDAA MASHINDANO YA SHUKRANI

Mchezaji wa timu ya taifa ya Harambe Starlets Essie Akida  anapania kuanzisha mashindano ya soka mwishoni mwa mwezi huu. Malkia huyo anayechezea klabu ya AC PAOK Thessaloniki yenye makazi yake ugiriki analenga kuandaa mashindano hayo aliyoyapa jina la Essie Akida Football Tournament mashindano ambayo yatafanyika katika uwanja wa Mkoroshoni mjini kilifi kaunti ya Kilifi. Kulingana

ESSIE AKIDA KUANDAA MASHINDANO YA SHUKRANI Read More »

MCHEZO WA TONG IL MOO- DOO IMEPIGA HATUA NCHINI – MWAKIO

Rais wa mchezo wa Tong IL Moo – Doo nchini Clarence Mwakio amesema kwamba mchezo huo umeanza kupiga hatua katika umaarufu wako katika taifa hili la Kenya. Ametoa wito kwa vijana wengi kujisajili kwa mchezo huo huku akithibitisha kuwa tayari Tong ill Moo – Doo imefika katika kaunti  14 kufikia sasa huku akiwa anapania kuimarisha

MCHEZO WA TONG IL MOO- DOO IMEPIGA HATUA NCHINI – MWAKIO Read More »