MICHEZO YAENDELEA VIZURI KENYA – ABABU NAMWAMBA
Waziri wa michezo hapa nchini Kenya Ababu Namwamba amesema kuwa anaimani mwaka huu utakuwa na ufanisi mkubwa katika michezo sawa na ilivyokuwa mwaka jana ambapo mashindano pamoja na wachezaji waliwakilisha na kushinda matuzo mbalimbali. Amesema kwa kipindi cha mwaka jana pekee serikali iliwekeza milioni 900 katika michezo tofauti ya miaka ya nyuma ambapo michezo ilikuwa […]
MICHEZO YAENDELEA VIZURI KENYA – ABABU NAMWAMBA Read More »



