HABARI

ESSE AKIDA KUFANYA MASHINDANO YA SOKA KILA MWAKA KILIFI

Mchezaji wa timu ya taifa ya Harambe Starlets Essie Akida anasema kwamba mafanikio alopata kwenye soka si hapa nchini pekee bali hata kimataifa yanampa motisha wa kupenda kurudisha mkono kwajamii ilomkuza. Akida ambaye kwa sasa anachezea klabu ya PAOK Thessaloniki katika taifa la ugiriki ameyasema hayo baada ya kuandaa mashindano ya soka mwezi December mwaka

ESSE AKIDA KUFANYA MASHINDANO YA SOKA KILA MWAKA KILIFI Read More »

BODABODA WAOMBA MASHINDANO ZAIDI KUFANYIKA MALINDI

Wafanya biashara wa boraboda mjini Malindi wameomba waandalizi wa mashindano ya soka kuyafanya mara kwa mara kwani jambo hilo limechania pakubwa kuleta utangamano katika jamii. Akizungumza na tama la spoti Hezron Mwaka ambaye ni kocha wa timu ya bodaboda ametoa wito huo baada ya mechi ya kirafiki ilochezwa wikendi ilopita dhidi ya kikosi cha maafisa

BODABODA WAOMBA MASHINDANO ZAIDI KUFANYIKA MALINDI Read More »