LUIS SUAREZ KUUNGANA NA MESSI TENA!
Mshambuliaji wa timu ya taifa ya Uruguay Luis Suarez anakaribia kusaini mkataba wa mwaka mmoja kujiunga na klabu ya Inter Miami ya marekani ambapo sasa atakuwa anaungana na Lionel Messi mchezaji waliyesakata kabumbu pamoja enzi zao Camp Nou katika klabu ya Barcelona. Kwa sasa taarifa zasema kwamba mazungumzo yalimalizika mwezi November na pande zote mbili […]
LUIS SUAREZ KUUNGANA NA MESSI TENA! Read More »



