HABARI

FODEN AACHA NA UINGEREZA NA KURUDI NYUMBANI KUPOKEA MTOTO WA TATU

Phil Foden, mchezaji wa klabu ya Manchester City aliachana na kambi yake ya timu ya taifa ya Uingereza huko Ujerumani ambako mashindano ya kombe la mataifa bara ulaya yanaendelea na kurejea nyumbani kwao Uingereza kwa ajili ya kuwa karibu na familia kipindi ambacho mke wake anajifungua. Foden mwenye umri wa miaka 24 anatarajia kupata mtoto

FODEN AACHA NA UINGEREZA NA KURUDI NYUMBANI KUPOKEA MTOTO WA TATU Read More »