HABARI

EMERGING STARS YA KENYA KUANZA NA ZAMBIA LEO

Timu ya taifa ya Kenya ya soka ya wachezaji wasiozidi umri wa miaka 23 Emerging Stars wanatarajiwa Kushuka dimbani jioni ya leo katika mechi yao ya kwanza ya mashindano ya COSAFA. Mashindano hayo yanayoendelea Africa Kusini yalianza rasmi jana na yanaiweka Kenya katika chungu B kinachojumuisha Zambia, Comoros na Zimbabwe. Emerging stars wanacheza mechi yao […]

EMERGING STARS YA KENYA KUANZA NA ZAMBIA LEO Read More »

KIKOSI CHA KENYA COSAFA CHAWASILI AFRIKA KUSINI

Kikosi cha taifa cha soka cha wachezaji wasiozidi umri wa miaka 23 kimewasili rasmi huko afrika kusini kwa ajili ya mashindano ya COSAFA yatakayoanza rasmi hii leo mpaka tarehe 7 mwezi Julai. Kulingana na benchi la kiufundi kutoka Kenya ni kuwa kikosi hicho kinalengwa kutumika kwenye mawindo ya talanta zitakazowakilisha Kenya kwenye mashindano ya Afcon

KIKOSI CHA KENYA COSAFA CHAWASILI AFRIKA KUSINI Read More »