OLUNGA ALIKUWA KATI YA WAKENYA WALIOPINGA MSWADA WA FEDHA 2024
Nahodha wa timu ya taifa ya soka hapa nchini Kenya Michael Olunga ni kati ya wakenya ambao wanapinga muswada wa kifedha wa mwaka 2024. Hii ni baada ya kupachika taaarifa kwenye ukurasa wake wa Facebook akisema ‘Reject Finance Bill 2024’. Hasira zaidi ilionyeshwa na wakenya wakidai wanalenga kufanya maandamano ya kuitimua shirikisho la soka nchini […]
OLUNGA ALIKUWA KATI YA WAKENYA WALIOPINGA MSWADA WA FEDHA 2024 Read More »



