SERIKALI YAJIVUNIA TALANTA HELA
Wizara ya michezo hapa nchini ikiongozwa na Ababu Namwamba inajivunia kuwa mradi wa serikali wa Talanta Hela umeanza kuzaa matunda. Ababu amethibitisha kuwa vijana wengi waliowakilisha Kenya na kuandikisha historia ya kufuzu kwa kombe la dunia wametokana na mpango wa Talanta Hela wa wachezaji wasiozidi umri wa miaka 19. Swali kubwa linaloibuka kwa wachezaji na […]
SERIKALI YAJIVUNIA TALANTA HELA Read More »



