HABARI

NAIBU WA RAIS PROFESA KITHURE KINDIKI AHUDHURIA KUAPISHWA KWA RAIS MTEULE WA TAIFA LA MOZAMBIQUE.

Naibu rais Kithure Kindiki ameondoka humu nchini mapema leo kwenda nchini Mozambique hudhuria kuapishwa kwa rais mteule nchini humo Daniel Francisco Chapo. Naibu wa rais Kindiki anatarajiwa kuwakilisha taifa la Kenya katika hafla hiyo hatua ambayo pia itasaidia kujenga uhusiano wa taifa hili la mataifa mengine ya Afrika. Chapo ameshinda kiti hicho kwa asilimia 65 […]

NAIBU WA RAIS PROFESA KITHURE KINDIKI AHUDHURIA KUAPISHWA KWA RAIS MTEULE WA TAIFA LA MOZAMBIQUE. Read More »

WAZIRI MUTURI AKABILIWA NA TISHIO LA KUBANDULIWA MAMLAKANI NA VIONGOZI WA BUNGE LA KITAIFA.

Baadhi ya wandani wa rais Willima Ruto sasa wanatishia kuwasilisha hoja ya kumbandua waziri wa Utumishi wa Umma Justine Muturi mamlakani kutokana na hatua yake kukashifu suala la utekajinyara linalo endelezwa na maafisa wa polisi nchini. Wakiongozwa na mbunge wa Mugirango Kusini kaunti ya Kisii Silvanus Osoro amesema kuwa waziri Muturi hakupaswa kutoa kauli kuhusiana

WAZIRI MUTURI AKABILIWA NA TISHIO LA KUBANDULIWA MAMLAKANI NA VIONGOZI WA BUNGE LA KITAIFA. Read More »

MASHABIKI WA YOUNG BULLS NA SS ASSAD WALALAMA

Mashabiki wa klabu ya Young Bulls wanazidi kueleza kutoridhishwa na matokeo mazuri baada ya jana timu yao kupigwa mabao 5-1 dhidi ya Bumbani Stars nyumbani Alaskan. Katika mechi ya jana mashabiki walianza kuondoka uwanjani mechi ikiendelea wakidai kuwa matokeo mabaya ya timu hiyo hayawavutii Licha ya matokeo hayo mashabiki wengi walijitokeza jana wakiwemo viongozi wa

MASHABIKI WA YOUNG BULLS NA SS ASSAD WALALAMA Read More »