JESUS KUKAA NJE KWA MUDA
MSHAMBULIAJI wa Arsenal, Gabriel Jesus, anaweza kukaa nje kwa muda mrefu kutokana na jeraha linaloshukiwa kuwa la mshipa wa goti baada ya kugongana na Bruno Fernandes wa Manchester United. Fowadi huyo wa Kibrazili alilazimika kutolewa nje ya uwanja dakika za mwisho za kipindi cha kwanza katika pambano la Arsenal la Kombe la FA dhidi ya […]
JESUS KUKAA NJE KWA MUDA Read More »



