CHANZO CHA SS ASSAD KUKOSA MECHI ZA WIKENDI
Klabu ya SS Assad ilikosa kucheza mechi yake ya wikendi kutoka na kutopatikana kwa kadi za wachezaji kipindi cha mechi wakati wa ukaguzi na komishena wa mechi hiyo Kulingana na taarifa kupitia ukurasa rasmi wa klabu hiyo ya kaunti ya Kwale inashiriki ligi ya kitaifa ya Super League ni kuwa wapinzani wao Muhoroni walisusia mechi […]
CHANZO CHA SS ASSAD KUKOSA MECHI ZA WIKENDI Read More »



