SERIKALI YA KITAIFA YA NUNUA CHANZO MILIONI 2.34 ZA BCG.
Wizara ya afya nchini imenunua dozi milioni 2.34 za chanjo ya BCG, inayo chanjwa watoto ili kuwalinda dhidi ya kupata maradhi ya kifua kikuu. Akithibitisha hilo mkurugenzi mkuu katika idara ya afya Dkt Patrick Amoth, amesema kuwa jumla ya chanjo elfu 234, zimesalia katika hifadhi ya kitaifa, ili kuhakikisha hakishuhudiwa uhaba wa chanjo hizo humu […]
SERIKALI YA KITAIFA YA NUNUA CHANZO MILIONI 2.34 ZA BCG. Read More »



