HABARI

SOKA LA LAMU LALIA

Huenda hali ya soka katika kaunti ya Lamu ikazidi kuwa mbaya kutokana na kusambaratika kwa utendakazi wa shirikihso la soka la fkf katika gatuzi hilo. Vilabu vingi  vya soka Lamu vimeshindwa kuendelea na mashindano ya shirikihso kutokana na gharama kubwa ya kusimamia mechi zao. Hivi punde zaidi ni klabu ya Deep Sea na King Loyal […]

SOKA LA LAMU LALIA Read More »

WATOTO WA GREDI YA 6 KAUNTI YA KILIFI WADAIWA KUTOJUA KUSOMA NA KUANDIKA.

Imebainika kuwa idadi kubwa ya watoto walio gredi ya 6 na zaidi katika shule za umma kaunti ya Kilifi, hawajui kusoma na kuandika. Haya ni kwa mujibu wa waziri wa elimu kaunti ya Kilifi, Felkin Kaingu ambaye ameelezea kusikitishwa na hatua hiyo, ambayo ametaja kuwa chanzo cha kaunti ya Kilifi kusalia nyuma kielimu. Waziri Kaingu

WATOTO WA GREDI YA 6 KAUNTI YA KILIFI WADAIWA KUTOJUA KUSOMA NA KUANDIKA. Read More »

WAFUNGWA MAWAKOSA MADOGO NCHINI KENYA WATUMIKIA KIFUNGO CHAO INJE YA JELA.

Idara ya magereza nchini inasema zaidi ya watu elfu hamsini wanahudumu kifungo cha inje, kama njia mojawapo ya kupunguza msongamano kwenye magereza. Katibu wa idara ya kurekebesha tabia na magereza nchini Dkt Salome Beacco, amesema kuwa watu wanaofanya makosa madogo, wanarekebishwa tabia wakiwa nje ya magereza. Akizungumza katika kaunti ya Nakuru, katibu Salome amesema kuwa

WAFUNGWA MAWAKOSA MADOGO NCHINI KENYA WATUMIKIA KIFUNGO CHAO INJE YA JELA. Read More »