MARTHA KOOME ALITAKA JOPO LA KUTEUA MAKAMISHNA WA IEBC KUDUMISHA UADILIFU.
Jaji mkuu Martha Koome amelitaka jopo la uteuzi wa makamishna wa tume huru ya uchaguzi na mipaka nchini IEBC, kuendekeza haki na usawa kwa mujibu wa sheria katika shughuli zao. Kulingana na Koome, tume ya IEBC ni mojawapo ya tume muhimu zaidi katika taifa hili na hivyo kuwaonya wale walioteulewa kwenye jopo hilo, dhidi ya […]
MARTHA KOOME ALITAKA JOPO LA KUTEUA MAKAMISHNA WA IEBC KUDUMISHA UADILIFU. Read More »



