HABARI

KUNA HAJA YA VIJANA NCHINI KUELIMISHWA KUHUSIANA NA BIASHARA.

Kuna haja ya vijana kupewa hamasa kuhusiana na mbinu mbali mbali za kujiendeleza kibiashara, kupitia miradi ya maendeleo inayotekelezwa na serikali ya kitaifa katika maeneo yao. Haya ni kwa mujibu wa shirika la kibiashara la 20x, ambalo limeelezea kuwepo miradi mingi ambayo inaweza kuimarisha shughuli za kibiashara katika jamii. Akizungumza katika kaunti ya Kwale, kwenye […]

KUNA HAJA YA VIJANA NCHINI KUELIMISHWA KUHUSIANA NA BIASHARA. Read More »

WANAHARAKATI WATISHIA KUWAFIKISHA MAHAKAMANI POLISI WANAOKIUKA HAKI ZA KIBINADAM MOMBASA.

Wanaharakati kaunti ya Mombasa wamenyooshea kidole cha lawama idara ya usalama kaunti hiyo, kwa madai ya kukiuka haki zao za kikatiba. Wakiongozwa na mwenyekiti wao Zedekia Adika, wamelalamikia suala la maafisa wa polisi kutumia nguvu kupita kiasi, hasa kila wakati wanapo wakamata wanaharakati hao. Akizungumza inje ya kituo cha Polisi cha Central kaunti ya Mombasa,

WANAHARAKATI WATISHIA KUWAFIKISHA MAHAKAMANI POLISI WANAOKIUKA HAKI ZA KIBINADAM MOMBASA. Read More »

VIJANA KAUNTI YA KILIFI WAONYWA DHIDI YA UTUMIZI MBYA WA MITANDAO.

Mwakilishi wa kike kaunti ya Kilifi, Getrude Mbeyu amewalaumu vijana kwa madai ya kushinikiza serikali kuendeleza visa vya utekaji nyara dhidi ya serikali ya Kitaifa. Akizungumza katika kikao na waandishi wa habari kaunti ya Kilifi, Mbeyu amesema hatua ya vijana kuchapishwa maandishi na picha zinazo ashiria vifo vya viongozi wakuu serikali, ilhali wangali, huathiri pakubwa

VIJANA KAUNTI YA KILIFI WAONYWA DHIDI YA UTUMIZI MBYA WA MITANDAO. Read More »