Kitaifa

ALIYEKUWA GAVANA WA KIAMBU FERDINAND WAITITU AHUKUMIWA KIFUNGO CHA MIAKA 12 GEREZANI AU FAUNI YA SHILINGI MILIONI 53.5.

Mahakama milimani inayo sikiliza kesi za Ufisadi nchini imemhukumu aliyekuwa gavana wa kaunti ya Kiambu Ferdinand Waititu, kifungo cha miaka 12 gerezani, baada ya kupatikana na hatia ya ulaghai kwa kutoa zabuni ya Shilingi milioni 588 kufanikisha ujenzi wa barabara mwaka wa 2018 kinyume cha sheria. Waititu alipewa chaguo la kulipa faini ya shilingi milioni […]

ALIYEKUWA GAVANA WA KIAMBU FERDINAND WAITITU AHUKUMIWA KIFUNGO CHA MIAKA 12 GEREZANI AU FAUNI YA SHILINGI MILIONI 53.5. Read More »

ALFRED CHOLE AELEZA SABABU ZA KUCHANA NA MOFA

Alfred Chole Mkufunzi wa MOFA Klabu inayamilikiwa na Nahodha wa Harambee Stars Michael Olunga, ameeleza sababu zake za Kujihuzulu, kufuatia Kipigo cha Magoli mawili sufuri na Mombasa United siku ya Jumatatu huko Serani. Chole ambaye alichukua Hatamu hio mwanzoni mwa msimu Huu alipoachana na APS Bomet, ameelezea kuwepo na mazingira Magumu ya Kufanya kazi kitu

ALFRED CHOLE AELEZA SABABU ZA KUCHANA NA MOFA Read More »