Kitaifa

VIONGOZI WA DINI YA KIISLAMU WAITAKA SERIKALI YA KITAIFA KUONDOA USHURU WA TENDE MSIMU WA RAMADHAN.

Baraza la maimamu na wahubiri wa kiislamu nchini CIPK sasa linaitaka serikali kuondoa ushuru wa tende, wakati wa mwezi wa ramadhan, unaotarajiwa kuanza mapema mwezi ujao. Kulingana na mwenyekiti wa baraza hilo kitaifa Sheikh Ibrahim Abdallah Ateka, lengo kuu la mataifa ya kiarabu kutuma tende, ni kutoa msaada kwa waumini wa dini hiyo, wasiokuwa na […]

VIONGOZI WA DINI YA KIISLAMU WAITAKA SERIKALI YA KITAIFA KUONDOA USHURU WA TENDE MSIMU WA RAMADHAN. Read More »

EUGENE WAMALWA ASEMA HUENDA CHAMA CHA ODM KIKASAMBARATIKA.

Kiongozi wa chama cha DAP-K, Eugene Wamalwa, amesema kuwa chama chake kitaendelea kusalia upande wa upinzani, ili kuwajibisha utendakazi wa serikali ya Rais William Ruto. Wamalwa amewasuta viongozi wa chama cha ODM, kutokana na mgawanyiko ambao umeendelea kushuhudiwa ndani ya chama hicho, baada ya baadhi ya viongozi kuteuliwa kuhudumu kwenye baraza la mawaziri ndani ya

EUGENE WAMALWA ASEMA HUENDA CHAMA CHA ODM KIKASAMBARATIKA. Read More »

KALONZO MUSYOKA AKOSOA UTENDAKAZI WA SERIKALI YA KENYA KWANZA.

Kinara wa chama Wiper, Kalonzo Musyoka amezidi kuikosoa serikali ya Kenya kwanza, kwa madai kwamba imeshindwa kutekeleza ahadi ilizotoa kwa wananchi, wakati wa siasa za uchaguzi mkuu uliopita wa mwaka 2022. Akizungumza mjini Malindi kaunti ya Kilifi, wakati wa ufunguzi wa afisi za chama cha Wiper, Kalonzo ameitaja bima mpya ya afya ya SHA, kutokuwa

KALONZO MUSYOKA AKOSOA UTENDAKAZI WA SERIKALI YA KENYA KWANZA. Read More »