Kitaifa

VIONGOZI WA ODM WAKASHIFU USHIRIKIANO WA CHAMA HICHO NA SERIKALI YA KENYA KWANZA.

Mpasuko Umeendelea kushuhudiwa Ndani Ya Chama Cha Odm Kuhusu Ushirikiano wake na Chama Cha Uda, Kwenye Mpango Wa Serikali Uliojumuisha Upinzani Serikalini. Baadhi Ya Wabunge Wamerushiana Cheche Kwenye Mkutano Wa Chama Hicho Kaunti Ya Kakamega. Kwenye Mkutano Huo, Mirengo Ya Wanaounga Mkono Uhusiano Wa Odm Na Serikali Na Wale Ambao Wanapinga Walikabiliana Kimaneno. Akizungumza kwenye […]

VIONGOZI WA ODM WAKASHIFU USHIRIKIANO WA CHAMA HICHO NA SERIKALI YA KENYA KWANZA. Read More »

GACHAGWA AHAIRISHA TANGAZO LAKE KUHUSIANA NA CHAMA CHAKE CHA KISIASA.

Aliyekuwa naibu wa rais Rigathi Gachagwa alibadili msimamo wake wa kutangaza chama chake kipywa hapo jana na badala yake kusema kuwa ataweka wazi tangazo hilo mnamo May mwaka huu wa 2025. Akizungumza katika kikao na waandishi wa habari kwenye makaazi yake eneo la Wamunyoro kule kaunti ya Nyeri, Gachagwa amesema kuwa mabadiliko hayo, ni mojawapo

GACHAGWA AHAIRISHA TANGAZO LAKE KUHUSIANA NA CHAMA CHAKE CHA KISIASA. Read More »