Kitaifa

RAIS WILLIAM RUTO AAHIDI KUTATUA MIZOZO YA ARDHI KAUNTI YA KILIFI.

Rais William Ruto amehidi kutatua changamoto za ukosefu wa vyeti vya umiliki wa ardhi katika eneo bunge la Magarini kaunti ya Kilifi na Pwani kwa Jumla. Akizungumza katika wadi ya Sabaki eneo bunge hilo la Magarini, Rais Ruto amesema kuwa tayari serikali kuu, imetenga fedha za kununua ardhi ili wananchi wapimiwe na kupewa hatimili za

RAIS WILLIAM RUTO AAHIDI KUTATUA MIZOZO YA ARDHI KAUNTI YA KILIFI. Read More »

KENYA KUZIDISHA MAANDALIZI YA AFCON

Raisi wa Shirikisho la Soka Hapa Nchini Hussein Mohammed, Ameelezea Mipango Kabambe  waliyoieka kama Shirikisho Kuhakikisha ya Kwamba timu ya Taifa Ya wachezaji Wasiozidi umri wa Miaka Ishirini, wanajitayarisha Viliovyo Kuelekea kwenye Mashindano ya AFCON Aprili mwaka Huu Huko Ivory Coast. Mipango Hiyo iliyowekwa na  FKF Ni kuhakikisha kwamba Uchaguzi wa Wachezaji Unafanywa Vizuri, Ukijumuisha

KENYA KUZIDISHA MAANDALIZI YA AFCON Read More »