Kitaifa

SANGO SPORTIFF YAZIDI KUBOREKA

Mkufunzi wa klabu ya Sango Sportiff  inayoshiriki ligi ya Divisheni ya Pili Coach Rigo, ameelezea kwamba  kurekebisha makaosa  waliyofanya kwenye mechi yao Iliyopita, Ndio Kulichangia Ushindi wao Mnono Dhidi ya Mariakani Fc, akiusifia Mchezo Mzuri ulioonyeshwa na Upande huo wa Mkufunzi Hassan Seif. Sportiff waliicharaza Mariakani magoli Manne bila jawabu kwao nyumbani, Timu Hio sasa […]

SANGO SPORTIFF YAZIDI KUBOREKA Read More »

RAIS WILLIAM RUTO AENDELEZA AHADI ZAKE KWA WAKAAZI WA PWANI.

Rais William Ruto wamehakikishia wakaazi wa Pwani kuwa watashuhudia miradi mingi ya maendeleo itakayo endelezwa na serikali yake. Akizungumza katika eneo la Likoni kaunti ya Mombasa, kwenye ziara yake hapa Pwani, Ruto amesema kuwa kwa mda mrefu, kaunti za Ukanda huu zimeendelea kusalia nyuma kimaendeleo, kwani zimekuwa zikitengwa na serikali kuu. Akihutubia umma, amewataka wakaazi

RAIS WILLIAM RUTO AENDELEZA AHADI ZAKE KWA WAKAAZI WA PWANI. Read More »