Kitaifa

BULLS YAMSAINI TUVA

Sajili mpya ya klabu ya Young Bulls FC nazungumzia Bruno Tuva kutoka Kathama FC aliisaidia waajiri wake wapya kusajili angalau alama moja nyumbani katika uwanja wa Alaskan jana. Katika kipindi cha pili Tuva alipata nafasi ya kuingia kambani na kusawazisha bao lililokuwa limefungwa kipindi cha kwanza na Equity na kuwafanya Bulls kuondoa uwanjani hapo na

BULLS YAMSAINI TUVA Read More »

ODEMBA KUFUTWA KAZI

Shirikisho la soka hapa Nchini FKF linapanga kumng’atua Beldine Odemba kama mkufunzi wa Timu ya Taifa ya Kina dada Harambee starlets, kufuatia sare tasa dhidi ya Tunisia kwenye mechi ya mkondo Wa Kwanza ya kufuzu kwa Wafcon ya mwaka ujao iliyopigwa ugani Ulinzi sports complex. Odemba alipokea cheche kutoka kwa mashabiki na wachanganuzi WA soka

ODEMBA KUFUTWA KAZI Read More »