Kitaifa

HOSPITALI ZA KIBINAFASI NCHINI ZA LALAMIKIA MPANGO WA BIMA MPYA SHA.

Muungano wa wamiliki wa hospitali na vituo vya afya vya kibinafsi, vinavyotoa huduma za matibabu kupitia bima ya afya ya SHA, umetilia shaka suala la serikali kuu, kukusanya fedha za kutosha kupitia bima hiyo, kama ilivyoratibiwa wakati bima hiyo ikianzishwa. Kulingana na kiongozi wa muungano huo daktari Brian Lishenga, hatua hiyo imetokana na suala la […]

HOSPITALI ZA KIBINAFASI NCHINI ZA LALAMIKIA MPANGO WA BIMA MPYA SHA. Read More »

WABUNGE WA PWANI WAOMBA MMOJA WAO KUTEULIWA KUWA MWENYEKITI WA KAMATI YA BAJETI KWENYE BUNGE LA KITAIFA.

Viongozi wa Pwani katika bunge la kitaifa na lile la Seneti nchini, wamemtaka rais William Ruto kuteua mmoja wao, kuwa mwenyekiti wa kamati ya bajeti kwenye bunge la kitaifa. Wakiongozwa na seneta mteule Mirajj Abdullahi na mbunge wa Matuga kaunti ya Kwale, Kassim Sawa Tandaza, wametaja suala la rasilimali za Pwani, kuwa na mchango mkubwa

WABUNGE WA PWANI WAOMBA MMOJA WAO KUTEULIWA KUWA MWENYEKITI WA KAMATI YA BAJETI KWENYE BUNGE LA KITAIFA. Read More »

“SIKUSHURUTISHWA KUWANIA WADHIFA WA AUC” ASEMA RAILA ODINGA.

Ni kauli ya aliyekuwa mgombea wa AUC, Raila Odinga ameweka wazi kuwa uamuzi wa kuwania wadhifa huo ulikuwa wake binafsi na wala si pendekezo la Rais William Ruto. Kwa mujibu wa Odinga, amepinga madai ya kuwa rais William Ruto, alimshauri kuwania wadhifa huo, hii ikiwa njia mojawapo ya kumuondoa nchini Kenya. Akizungumza katika ikulu ya

“SIKUSHURUTISHWA KUWANIA WADHIFA WA AUC” ASEMA RAILA ODINGA. Read More »