Kitaifa

RAIS WILLIAM RUTO ATANGAZA KURAHISISHA SHUGHULI ZA WATALII KUINGIA KENYA KUPITIA USAFIRI WA BAHARINI.

Rais William Ruto amesema Kenya inatazamia kuidhinishaji usafiri wa Kielektroniki, wa kuingia kwa wingi kwa watalii wa meli za kifahari katika bandari ya Mombasa. Akihutubia wanahabari katika bandari hiyo, alipokaribisha wageni zaidi ya Elfu mbili, baada ya meli ya Norwey kutia Nanga kwenye bandari ya Mombasa, rais alisisitiza dhamira ya serikali kuu kutangaza nchi hii, […]

RAIS WILLIAM RUTO ATANGAZA KURAHISISHA SHUGHULI ZA WATALII KUINGIA KENYA KUPITIA USAFIRI WA BAHARINI. Read More »

GACHAGWA AMUONYA RAIS WILLIAM RUTO DHIDI YA KUMHANGAISHA JAJI MKUU MARTHA KOOME.

Aliyekuwa naibu wa rais Rigathi Gachagwa, ametishia kuongoza maandamano ya kitaifa iwapo jaji mkuu nchini Martha Koome, atabanduliwa kutoka kwa wadhifa huo. Akizungumza katika kaunti ya Meru, Gachagwa amemuonya rais William Ruto, dhidi ya kumhangaisha jaji mkuu nchini Martha Koome, pamoja na viongozi wengine wa eneo la Mlima Kenya. Gachagwa ambaye amekuwa akiweka jitihada zaidi

GACHAGWA AMUONYA RAIS WILLIAM RUTO DHIDI YA KUMHANGAISHA JAJI MKUU MARTHA KOOME. Read More »

ASKOFU ANTONY MUHERIA AKOSOA AHADI HEWA ZA SERIKALI YA KENYA KWANZA.

Askofu mkuu wa kanisa katoliki jimbo la Nyeri, Anthony Muheria ameitaka serikali kukoma kutoa ahadi zisizotimia na badala yake kuzamia utendakazi katika miaka miwili iliyobakia ya utawala wake. Muheria amelalamikia suala la taasisi za afya zinazo milikiwa na kanisa Kotoliki nchini Kenya, kudai serikali ya kitaifa zaidi ya shilingi milioni mia mbili hamsini, fedha ambazo

ASKOFU ANTONY MUHERIA AKOSOA AHADI HEWA ZA SERIKALI YA KENYA KWANZA. Read More »