Kitaifa

VIONGOZI WA ODM WADAI KUWA BADO WATASALIA KUWA MRENGO WA UPINZANI KWENYE MABUNGE YOTE MAWILI.

Seneta wa kaunti ya Kilifi, Stewart Madzayo amesema kuwa chama cha Odm, kitaendelea kusalia kwenye mrengo wa upinzani katika taifa hili. Madzayo amesema kuwa chama hicho, hakita sita kukosoa serikali ya Kenya kwanza, iwapo watahisi kuwa inakiuka sheria za taifa hili katika uongozi wake. Kiongozi huyo wa wachache kwenye bunge la seneti, ameelezea kuwa jukumu

VIONGOZI WA ODM WADAI KUWA BADO WATASALIA KUWA MRENGO WA UPINZANI KWENYE MABUNGE YOTE MAWILI. Read More »

BUNGE LA SENETI LAWASUTA WANASIASA WANAOSHEREHEKEA HATUA YA RAILA ODINGA KUKOSA WADHIFA WA MWENYEKITI WA AUC.

Maseneta wameendelea kutoa hisia mseto, kuhusu sababu zilizochangia aliyekuwa mgombea wa kiti cha tume ya umoja wa Africa AUC, Raila Odinga, kupoteza katika uchaguzi huo uliofanyika jumamosi iliyopita. Wakiongozwa na kiongozi wa wengi kwenye bunge hilo Arron Cheriyot na seneta wa kaunti ya Narok, Lendama Olekina, wameelezea kusikitishwa na hatua ya baadhi ya wanasiasa, kufurahishwa

BUNGE LA SENETI LAWASUTA WANASIASA WANAOSHEREHEKEA HATUA YA RAILA ODINGA KUKOSA WADHIFA WA MWENYEKITI WA AUC. Read More »