Kitaifa

WANANDOA WATAKIWA KUZINGATIA SHERIA ZA DINI ILI KUEPUKA TALAKA.

Zaidi ya asilimia 23 ya ndoa elfu 15 za waumini wa dini ya kiislamu, zinazo fungishwa katika afisi ya Kadhi hapa nchini kenya, zimekuwa zikiishia kuvunjia na wanandoa kupeana talaka. Haya wa mujibu wa kadhi mkuu nchini Kenya, Shehe Athman Hussein Abdhulhalim, ambaye ameelezea kuwa na wasiwasi wa maisha ya kizazi cha siku za uosoni. […]

WANANDOA WATAKIWA KUZINGATIA SHERIA ZA DINI ILI KUEPUKA TALAKA. Read More »

RAIS RUTO WAKOSOA WAPINZANI WAKE KWA MADAI YA KUENDELEZA UKABILA.

Rais William Ruto amewasuta baadhi ya wapinzani wake wa kisiasa kwa madai ya kuendeleza mipango ya kuhakikisha kuwa, hapati uungwaji mkono kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka 2027. Kwa mujibu wa rais, viongozi hao wamekuwa wakiendeleza siasa za ukabila kinyume na jinsi ambavyo, serikali ya Kenya kwanza imekuwa ikijitahidi kuunganishwa viongozi wa mirengo tofauti katika taifa

RAIS RUTO WAKOSOA WAPINZANI WAKE KWA MADAI YA KUENDELEZA UKABILA. Read More »