Kitaifa

RAIS WILLIAM RUTO AWAKASHIFU WAPINZANI WAKE.

Rais William Ruto hii leo ameelekeza siasa zake katika eneo la Njukini, kwenye mpaka wa kaunti ya Taita Taveta na Kajiado wakati akielezea mikakati ya serikali, katika kuboresha shughuli za maendelo kwenye jamii. Katika hotuba yake kwa wananchi eneo hilo, Ruto amewasuta wapinzani wake, wanaoendeleza mipango ya kushirikiana ili kufanikisha ajenda ya kumbadua mamlakani kwenye […]

RAIS WILLIAM RUTO AWAKASHIFU WAPINZANI WAKE. Read More »

RAIS WILLIAM RUTO AWAONYA MACHIFU DHIDI YA KUTOSISITIZA MASUALA YA ELIMU MASHINANI.

Maafisa wa usalama mashinani katika eneo bunge la Galole kule kaunti ya Tana River, wametakiwa kuwachukulia hatua kali za kisheria wazazi wa watoto wasioenda shuleni. Haya ni kulingana na rais William Ruto ambaye ametishia kuwafuta kazi machifu pamoja na manaibu wao, wanaofanyakazi katika maeneo ambayo watoto watapatikana mitaani, wakiwa wamekosa kujiunga na taasisi za elimu.

RAIS WILLIAM RUTO AWAONYA MACHIFU DHIDI YA KUTOSISITIZA MASUALA YA ELIMU MASHINANI. Read More »

WAMILIKI WA MADUKA YA DAWA WAONYWA DHIDI YA KUUZA DAWA KINYUME CHA SHERIA ZA AFYA.

Mamlaka ya kukabiliana na utumizi wa pombe na mihadarati nchini Kenya NACADA, imethibitisha kuwa baadhi ya wakenya hutumia dawa zinazouzwa kwenye maduka ya dawa, kinyume cha muongozo wa madaktari. Kulingana na naibu mkurugenzi wa NACADA Ann Mathu, watu wengi hutumia dawa hizo kama mihadarati, jambo ambalo ni kinyume na matumizi yaliyo ratibiwa na wizara ya

WAMILIKI WA MADUKA YA DAWA WAONYWA DHIDI YA KUUZA DAWA KINYUME CHA SHERIA ZA AFYA. Read More »