AFISI YA MKAGUZI MKUU WA HESABU ZA SERIKALI NANCY GATHUGHU ASEMA KUNA WAFANYAKAZI HEWA KATIKA BAADHI YA KAUNTI.
Ripoti ya Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali, Nancy Gathungu, imefichua kuwa Kaunti nane nchini ziliajiri maelfu ya wafanyakazi bila kufuata sheria katika mwaka wa kifedha wa 2023/2024, Kulingana na ripoti hiyo, wafanyakazi hao waliajiriwa pasi na nafasi za ajira kutangazwa, kupitia vyombo vya habari wala hakuna mahojiano yaliyo fanywa ili kuwapiga msasa. Taarifa hiyo […]



