Kitaifa

RAIS WILLIAM RUTO ASEMA SERIKALI HAITA RUDI KUTUMIA BIMA YA NHIF.

Rais William Ruto amewasuta baadhi ya viongozi na wakenya wanaopinga mfumo wa bima ya matibabu wa SHA huku akiwataja kuwa wafisadi waliochangia katika wizi wa fedha za umma, katika bima ya awali ya NHIF. Rais Ruto amepuuziluia mbali vilio vya wakenya, kuhusiana na changamoto za bima hiyo huku akisema serikali ya kitaifa, haita legeza msimamo […]

RAIS WILLIAM RUTO ASEMA SERIKALI HAITA RUDI KUTUMIA BIMA YA NHIF. Read More »

RAILA ODINGA KASHIFU VISA VYA UTEKAJINYARA WA VIJANA NCHINI.

Aliyekuwa kinara wa chama cha ODM Raila Odinga ameitaka serikali kukomesha visa vya utekajinyara wa vijana wa taifa hili. Akizungumza hapa mjini Malindi kaunti ya Kilifi, Odinga amesema kuwa mauaji ya vijana wa taifa hili, siku chache baada yao kutekwanyara ni ukiukaji wa haki za kibinadam na sharti serikali itoe agizo la kusitishwa kwa visa

RAILA ODINGA KASHIFU VISA VYA UTEKAJINYARA WA VIJANA NCHINI. Read More »

SENETA WA KAUNTI YA NANDI, SAMSON CHERARKEY APONGEZA USHURIKIANO WA RAILA ODINGA NA RAIS WILLIAM RUTO.

Baadhi ya wandani wa rais William Ruto kwenye bunge la seneti wamepigia upatu ndoa ya Raila Odinga na kiongozi wa taifa. Wakiongozwa seneta wa kaunti ya Nandi Samson Cherarkey, amesema kuwa hatua ya serikali ya Kenya kwanza kuwateua baadhi ya viongozi wa ODM kwenye baraza la mawaziri nchini ni ishara kuwa muungano huo utafaulu. Seneta

SENETA WA KAUNTI YA NANDI, SAMSON CHERARKEY APONGEZA USHURIKIANO WA RAILA ODINGA NA RAIS WILLIAM RUTO. Read More »