Kitaifa

MHASIBU MKUU WA SERIKALI ATILIA SHAKA MITANDAO YA BIMA YA SHA.

Bunge la kitaifa pamoja na lile la seneti, limetakiwa kuchukua hatua za haraka dhidi ya wahusika wanaotoa kandarasi za mitandao, katika utekelezwaji wa bima mpya ya SHA. Mhasibu mkuu wa serikali Nancy Gathungu, ameelezea wasiwasi wa wakenya kupoteza mabilioni ya fedha, katika bima hiyo iwapo bunge hilo halitaingilia kati suala hilo. Gathungu ambaye alifika mbele

MHASIBU MKUU WA SERIKALI ATILIA SHAKA MITANDAO YA BIMA YA SHA. Read More »

MADAKTARI WATISHIA KUANDAMANA ILI KUPINGA UTUMIZI WA SHA.

Muungano wa madaktari nchini KMPUD, umetoa makataa ya wiki mbili kwa serikali ya kitaifa, kutatua changamoto zinazo kabili mpango wa huduma za matibabu kwa maafisa wa serikali, kupitia bima ya afya ya SHA. Wakiongozwa na katibu mkuu wa muungano huo daktari Davji Atella, amesema kuwa iwapo serikali haita tekeleza hilo, watachukua hatua ya kuandamana na

MADAKTARI WATISHIA KUANDAMANA ILI KUPINGA UTUMIZI WA SHA. Read More »