Kitaifa

ASKOFU MARTIN KIVUVA ASHINIKIZA MALIPO YA MADENI YA HOSPITALI ZA KIBINAFIS NCHINI.

Askofu mkuu wa kanisa katoliki eneo la Pwani, Martin Kivuva ametoa wito kwa serikali kuu, kutatua changamoto zinazo kabili wakenya wanaotumia bima ya matibabu SHIF, inayotekelezwa na mamlaka SHA, kupitia idara ya afya. Kivuva amesema kuwa, wakenya wengi wamekuwa wakiaga dunia huku wengine wakiendelea kupitia hali ngumu za kiafya, kutokana na ukosefu wa matibabu, kwani […]

ASKOFU MARTIN KIVUVA ASHINIKIZA MALIPO YA MADENI YA HOSPITALI ZA KIBINAFIS NCHINI. Read More »

SAMBURU LIONS KUFANYA USAJILI MSIMU HUU

Naibu mkufunzi wa klabu ya Samburu Lions Samuel Omondi anasema kuwa analenga kufanya usajili ili kuimarisha kikosi chake ili kumaliza msimu huu katika kiwango bora. Omondi anasema anapolenga sana kufanya usajili ni eneo la mashambulizi huku akisema tayari yuko na baadhi ya wachezaji ambao anajiandaa kuwaweka kwenye orodha ya kikosi chake. Ameeleza matumaini makubwa kuwa

SAMBURU LIONS KUFANYA USAJILI MSIMU HUU Read More »