Kitaifa

RAIS WILLIAM RUTO ASISITIZA USAWA KWA WAKENYA WANAOTAFUTA HUDUMA ZA SERIKALI.

Rais William Ruto amewahakikishia wakenya kuwa serikali yake itatekeleza haki na usawa, katika kutoa huduma zake kwa wananchi pasi na ubaguzi. Rais ambaye amezungumza katika eneo la Eastleigh kule kaunti ya Nairobi mda mfupi uliopita, amesema kuwa sharti kila mkenya apewe huduma za serikali pasi na kuzingatia kabila lake ama tabaka. Kiongozi huyo amesema kuwa […]

RAIS WILLIAM RUTO ASISITIZA USAWA KWA WAKENYA WANAOTAFUTA HUDUMA ZA SERIKALI. Read More »

HAYAWI HAYAWI HUWA.

Rais William Ruto amepongeza hatua ya aliyekuwa mpinzani wake mkuu katika uchaguzi wa mwaka 2022 Raila Odinga, kuunga mkono utendakazi wake katika taifa hili. Kulingana na Rais, hatua hiyo itasaidia pakubwa katika kupiga vita visa vya ukabila na ubaguzi wa wakenya wa maeneo mbali mbali ya taifa hili, hasa katika masuala ya maendeleo na siasa.

HAYAWI HAYAWI HUWA. Read More »